Roma imedhamiria kuwa ni klabu inayofanya vizuri na kuongoza duniani hii ni kwa mujibu wa mtendaji mkuu Italo Zanzi.
Kundi la American group , likiongozwa na James Pallotta, limeichukua klabu hiyo majira ya kiangazi 2011 na kwasasa Roma inaongoza ligi ya Italia maarufu kama Serie A baada ya michezo minane.
Amezungumza Zanzi hii leo akisema
"Tunaangalia mbele kuwa ni klabu bora duniani katika maeneo yote nje na ndani ya uwanja".
Zanzi amekuwa na mwenendo mzuri katika michezo baada ya kucheza kimataifa mchezo wa mpira wa mikono na kufanya kazi katika Major League Baseball nchini Marekani.
Amekuwa kaimu katibu mkuu wa shirikisho la soka la North, Central
American and Caribbean Association Football (Concacaf) until 2011.
No comments:
Post a Comment