KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, November 4, 2013

NIGERIA YATANGAZA KIKOSI DHIDI YA ETHIOPIA

Nigeria imetaja majina 25 ya wachezaji kwa ajili ya mchezo wa play-off dhidi ya Ethiopia na mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Italy huko London Jumamosi.
Nigeria watakuwa wenyeji wa mchezo dhidi ya Ethiopia mchezo wa marudiano Novemba 16 mjini Calabar baada ya kushinda mchezo wa kwanza kwa mabao 2-1 jijini Addis Ababa mwezi uliopita.
Siku mbili baadaye wataelekea Italy kwa mchezo wa kirafiki katika dimba la Craven Cottage mjini London.
Walioongezwa ni Kenneth Omeruo wa Chelsea na nyota kutoka Scotland Gabriel Reuben.

Walikuwa majeruhi huko nyuma

Squad:

Goalkeepers: Vincent Enyeama (Lille/FRA), Austin Ejide (Hapoel Be'er
Sheva/ISR), Chigozie Agbim (Enugu Rangers)

Defenders: Elderson Echiejile (Sporting Braga/POR), Benjamin Francis
(Heartland); Efe Ambrose (Celtic/SCO), Solomon Kwambe (Sunshine Stars),
Godfrey Oboabona (Rizespor/TUR), Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves), James
Okwuosa (Chippa United/RSA), Kenneth Omeruo (Chelsea/ENG)

Midfielders: Mikel Obi (Chelsea/ENG), Victor Moses (Liverpool/ENG), John
Ogu (Academica de Coimbra/POR), Ogenyi Onazi (Lazio/ITA), Nnamdi Oduamadi
(Brescia/ITA), Nosa Igiebor (Real Betis/ESP), Sunday Mba (Enugu Rangers),
Gabriel Reuben (Kilmarnock/SCO)

Forwards: Ahmed Musa (CSKA Moscow/RUS), Brown Ideye (Dynamo Kiev/UKR),
Shola Ameobi (Newcastle United/ENG), Emmanuel Emenike (Fenerbahce/TUR), Obinna
Nsofor (Lokomotiv Moscow/RUS), Uche Nwofor (SC Heerenveen/NED)

No comments:

Post a Comment