KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, December 19, 2013

Imedhihirika kuwa wachezaji wanne waliosajili na Spurs hawakutakiwa na Andre Villas-Boas AVB yeye aliwataka Villa, Hulk Moutinho. Soma uhondo......

Andre Villas-Boas hakutaka wachezaji wanne kujiunga na Spurs kati ya saba waliojiunga nayo.
Er, no: Erik Lamela was one of four Spurs signings not wanted by Villas-Boas
Erik Lamela pichani juu alikuwa ni mmoja wa wale wanne waliosajiliwa bila ya ridhaa ya Villas-Boas
Not for me: Nacer Chadli was not a target of Villas-Boas either
Nacer Chadli pichani juu pia hakuwa chaguo la Villas-Boas

 Andre Villas-Boas hakuidhinisha usajili wa wachezaji wanne kati ya saba walikuwa wakitakiwa na klabu hiyo ambapo inadai kuwa alimtaka mwenyekiti wa klabu Totternham Daniel Levy kutokuwanunua wachezaji hao.
Villas-Boas alipendelea kuwasajili Erik Lamela, Nacer Chadli, Vlad Chiriches na Christian Eriksen, ambao waliigharimu Spurs jumla ya pauni milioni £56 maamuzi yake yalitupiliwa mbali.
Meneja huyo mreno alimtaka mwenyekiti kumnunua Hulk, Joao Moutinho na David Villa alipokuwa akijipanga na maisha ya kumudu kikosi bila ya Gareth Bale aliyetimkia Real Madrid.
Hakuna kati ya hao aliyesajiliwa na kiasi cha pauni milioni £110 kilichotengwa kilisimamiwa na nguvu nyingine iliyokuwapo White Hart Lane ambayo ilihitimisha nguvu hiyo kwa kumfuta kazi Villas-Boas Jumatatu iliyopita.
Wachezaji saba pekee ambao walisajiliwa na Tottenham ambao Villas-Boas aliwataka ni Paulinho, Etienne Capoue na Roberto Soldado. Wengine walitambulishwa na Levy pamoja na mkurugenzi wa ufundi Franco Baldini. 

Licha ya kwamba meneja alipendekeza Levy kuajiri mkurugenzi wa ufundi lakini mahusiano kati ya Baldini na Villas-Boas hivi karibuni yaliharibika na Mreno huyo alikabidhiwa wachezaji ambao hakuwapendekeza. 
Not a target: Christian Eriksen was signed from Ajax, but not on Villas-Boas' say-so
Not a target: Christian Eriksen alifunga magoli 10 akiwa na 's Ajax alisajiliwa akitokea Ajax, na haikuwa ni pendekezo la Villas-Boas.
Vlad news for Andre: It is thought Villas-Boas did not fancy Romanian defender Vlad Chiriches
Vlad news for Andre: Inadhaniwa kuwa Villas-Boas hakumtaka mlinzi wa kimataifa wa Romania Vlad Chiriches
Axed: Villas-Boas was sacked after Sunday's 5-0 home defeat by Liverpool
Villas-Boas aliyefutwa kazi baada ya matokeo ya kichapo cha mabao 5-0 Jumapili dhidi ya Liverpool

Villas-Boas alimtaka Willian kutoka katika klabu ya Anzhi Makhachkala lakini Tottenham walizidiwa maarifa na Chelsea katika mbio za usajili wakimsainisha kwa pauni milioni £30 Mbrazil huyo.
Spurs baadaye alimgeukia Eriksen na kuipatia Ajax pauni milioni £11.5 kwa Dane, ambaye alianza msimu kwa makeke lakini inaelezwa kuwa mchezaji huyo hakuwa pendekezo la meneja. Maumivu makubwa yalitokezea kwa Villas-Boas, kufuatia mapendekezo yake mengi yahakuweza kusajiliwa.
Hulk alichomoa kuachana na Zenit St Petersburg na kujiunga na Villas-Boas, ambaye alifanya naye kazi wakati wakiwa Porto. Pia Moutinho alikuwa tayari kuelekea kwa bosi wake wa zamani wakiwa Porto licha ya kwamba mpango wa awali wa kuelekea Spurs uliharibiaka Agosti  2012, ambao ulimchukiza sana Villas-Boas.
Target: Villas-Boas had asked for Hulk, of Zenit, to be signed during the summer
Villas-Boas alimtaka Hulk wa Zenit kujiunga naye kiangazi.
Wanted man: Villas-Boas had also asked to be reunited with Joao Moutinho, now of Monaco, whom he managed during his successful spell at Porto
Villas-Boas pia alitaka kuungana tena na Joao Moutinho kwasasa akiwa Monaco, ambaye alimfundisha akiwa Porto.

Kiungo huyo aliondoka Porto kiangazi iliyopita na kujiunga na Monaco sambamba na James Rodriguez mpango wa pamoja uligharimu pauni milioni £60.
Hulk na Moutinho walielezewa kuwa pengine wangekuwa ghali lakini Villa mwishowe aliihama Barcelona na kujiunga na Atletico Madrid kwa ada ndogo sana ya uhamisho ya pauni milioni £2 na kufunga magoli sita katika michezo saba ya mwisho hivi karibuni ya La Liga.

Kati ya wale ambao hakuwataka imebainika kuwa Lamela amedhihiri kuwa ni tatizo kubwa kwa klabu hiyo kwasababu alisajiliwa kwa gharama ya rekodi ya usajili ya klabu kisia cha pauni milioni £30 akitumia mguu wa kushoto(left-footed winger) akijiunga kama mbadala wa Bale. 
Bargain: David Villa cost Atletico Madrid just £2m from Barcelona. He, too, was wanted by Villas-Boas
David Villa aliigharimu Atletico Madrid kiasi cha pauni milioni £2 alitokea Barcelona. Pia alikuwa akitakiwa na Villas-Boas

Lamela amecheza michezo miwili ya ligi chini ya Villas-Boas, huku michezo minne akitokea benchi na mpaka bado hajafunga goli. 

Eriksen na Chadli hawajafunga katika Premier League wakiaanza michezo mitano na kucheza kwa ujumla michezo sita kila mmoja huku Chiriches akianza michezo sita ya ligi na kufunga goli katika mchezo mmoja tu dhidi ya Fulham.

No comments:

Post a Comment