KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, December 19, 2013

Baba yao na akina Neville afutiwa makosa ya ubakaji.

 Baba wa wachezaji wawili wa England Gary na Phil Neville amefutiwa kesi ya unyanyasajji wa kijinsia.

Neville Neville mwenye umri wa miaka 64, alituhumiwa kufanya  ubakaji umbali wa yadi 20 kutoka nyumbani kwake na mdai mwenye umri wa kati lakini hukumu hiyo imesema tukio hilo lilikuwa ni la makubaliaono.
Mwanamke aliyemtuhumu Neville alidai mtuhumiwa alimlazimisha kufanya tendo hilo akiwa amelewa.