Mlinzi wa Paris Saint- Germain Tiago Silva anadhani kuwa muanganiko wa Zlatan Ibrahimovic na Edson Cavan ni bora zaidi ukilinganisha na ule wa washambuliaji wawili wa Barcelona Neymar na Lionel Messi.
Cavani na Ibrahimovic wamekuwa katika muungano wa kuvutia zaidi katika ligi kuu ya soka nchini Ufaransa msimu huu wakifunga jumla ya mabao 24 na nyota huyo wa kimataifa wa Brazil anadhani wachezaji hao wenzake ni bora kuliko wale wa Barcelona katika kipindi hiki.
"Ni ngumu kuchagua juu ya partnerships ya ushambuliaji. Neymar ni rafiki yangu lakini katika hili nadhani wanaovutia zaidi ni Zlatan na Cavani. kitu kimoja kwa kweli ni kwamba wote wanne ni washambuliaji wazuri"amekaririwa Silva akiongea na L'Equipe.

No comments:
Post a Comment