Chama cha soka nchini Malawi (FAM) kinatarajia kuwarejesha kazini makocha mawili walio wafukuza kazi ya kukifundisha kikosi cha timu ya taifa kuendelea na kazi hiyo.
Makocha hao ni Young
Chimodzi aliyekuwa kocha mkuu na Jack Chamangwana kuwa kocha msaidizi.
Wawili walifukuzwa kazi kuifundisha Flames sambamba na Kinnah Phiri mwezi January 2013 lakini FAM baada ya mkutano wao wa Jumamosi iliyopita ikaamua kwa moyo mmoja kuwarejesha kazini wataalamu hao.
No comments:
Post a Comment