KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, January 2, 2014

Mchezo wa Simba dhidi ya AFC Leopard ya Kenya kombe la Mpinduzi Zanzibar katika picha.

Uwanja wa Aman Zanzibar ambao unatumika katika michuano ya Mapinduzi hivyo ndivyo sehemu yake ya kuchezea inavyooneka.
Kocha wa timu ya Taifa ya Italia Cesare Prandile akiwapungua mikono Mashabiki wa soka kabla ya kufungua rasmi michuano ya kombe la mapinduzi huku mchezo rasmi wa ufunguzi uliwakutanisha Simba na AFC Leopard ya Kenya na kumalizika kwa Simba kuifunga Leopards bao 1-0 katika uwanja wa Amani.
                    Vikosi vya timu za Simba na Leopard vikingia uwanjani vikiongozwa na waamuzi wa mchezo huo.
                  Kikosi cha timu ya Leopard kilichocheza na Simba usiku huu na kukubali kufungwa bao bao 1-0.
Kikosi cha timu ya Simba kilicho anza dhidi ya Leopards ya Kenya katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi.
Viongozi wa Jukwaa Kuu wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa amaan usiku huu,ulozikutanisha timu za Simba ya Tanzania na timu ya Leopard ya Kenya, katika mchezo huu timu ya Simba imeshinda bao 1--0, kupitia mchezaji wake Amiri Kiemba katika kipindi cha pili cha mchezo huo. 
Mchezaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Leopard, wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi

No comments:

Post a Comment