KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, February 20, 2014

KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014: LIONEL MESSI ANA DENI LA MARADONA NA YUKO NYUMA YA EUSEBIO NA PELE. MWENYEWE ANA HAYA ..........................

Lionel Messi ameshiriki katika michezo minane ya kombe la dunia akiitumikia timu yake ya taifa ya Argentina. Endapo kama angekuwa anafunga kwa kiwango chake cha ufungaji kutegemeana na wastani wa ufungaji wake katika klabu yake ya Barcelona pengine angekuwa amefunga jumla ya magoli saba katika michezo hiyo nane aliyocheza.

Badala yake alifunga goli moja tu katika mchezo wa ushindi wa kwa timu yake ya taifa wa mabao 6-0 dhidi Serbia na Montenegro mjini Gelsenkirchen mwaka 2006 ndio alifunga goli lake pekee na amekuwa hana aibu licha ya kukumbana na maneno ya lawama kutoka kwa mshabiki.
One blotch: The four-time Ballon d'Or winner is still criticised for his lack of goals in the World Cup
Mshindi mara nne wa tuzo ya Ballon d'Or bado anaendelea kukosolewa kwa kutokufunga kwake magoli katika kombe la dunia

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kwasasa anaonekana kuwa mkomavu zaidi na akiwa akijipabga vizuri kuungana na kikosi cha Argentina kuelekea kwenye fainali za mwaka huu za kombe la dunia nchini Brazil maarufu kama 'summer's carnival of football' huku wakiingia katika michuano hiyo kama kikosi kinachopewa nafasi ya pili ya kutwaa taji hilo.

Ananukuliwa akisema
'Slowly but surely- nitaelekea huko nikiwa na matumaini ya kupanda vema katika kipindi muafaka cha mwaka' Alikuwa akikaririwa na BBC Football Focus.
 'Nadhani huu utakuwa ni mwaka mkubwa si tu kwa upande wangu bali pia kwa klabu yangu ya Barcelona na Argentina.'

Messi anaamini kuwa Argentina inaweza kushinda taji la dunia licha ya makabiliano upinzani kutoka kwa wenyeji Brazil, na anasisitiza michuano hiyo itakuwa ni ya aina yake kuliko ilivyokuwa huko nyuma.

'Itakuwa ni -extra special- kuliko michuano mingine yote ya kombe la dunia iliyopita, inafanyika Brazil kwenye kila kitu kinachotuwezesha kwa upande wetu, kwani mashabiki wetu watakuwa pale kwa maelfu na kwa uwepo wao tunaweza kuvuna kitu -very, very special.'
At present: Messi has 19 goals in 24 appearances for Barcelona this term, down on his usual unbelievable tally
Hivi sasa: Messi ana magoli 19 katika jumla ya michezo 24 aliyoichezea Barcelona.

One and only: Messi's one goal in the World Cup came against Serbia and Montenegro in 2006
Goli moja tu: Goli pekee la Messi katika kombe la dunia alifunga dhidi ya Serbia and Montenegro mwaka 2006

Argentina haijatinga hatua ya robo fainali katika kombe la dunia tangu mwaka 1990, ambapo walicheza fainali dhidi ya Ujerumani magharibi na kufungwa kwa bao 1-0 fainali zilipofanyika nchini Italia ambapo kwasasa wachambuzi wa mambo ya soka wanaamini kuwa tangu wakati huo kikosi cha nchi hiyo kimeimarika katika siku za hivi karibuni.

Walimaliza katika nafasi ya kwanza katika kundi la CONMEBOL ikipoteza michezo miwili katika jumla ya michezo 16 ya kufuzu.

'Nadhani kombe hili la dunia linakuja katika kipindi kizuri kwa Argentina. Tumekua kama timu ndani na nje ya uwanja. Wako wachezaji wengi wanapenda kucheza kwa ajili ya taifa lao.
'Nadhani tutaelekea Brazil tukiwa vizuri sana na tukiwa na nafasi kubwa ya kushinda taji. Tunajua kombe la dunia ni kitu gani.'
Four years on: Messi takes on the South Korea defence during the 2010 World Cup in South Africa
Miaka minne iliyopita: Messi akikabiliana na walinzi wa South Korea katika mchezo wa kombe la dunia 2010 nchini Afrika kusini

Team up: Maradona takes on half of the Belgium team in 1982, and Messi is similarly feared across the globe
Enzi za Maradona: Diego Maradona akikusanya nusu kijiji cha timu ya taifa ya Belgium mwaka 1982, kama ilivyo kwa Messi ambaye anaogopwa na duniani kote kwa sasa.


Wachezaji wakubwa katika soka - Fikiria nyota wa zamani kama Pele, Maradona, Eusebio  -Wote aling'ara na kucheza fainali ya kombe la dunia, hivyo ndivyo ambavyo Messi anatamani kufanya kwa kufuata nyayo mzaliwa mwenzake wa Argentina Maradona aliyebeba kombe la dunia mwaka 1986 nchini Mexico.

Yuko mbali sana katika idadi ya ufungaji katika kombe la dunia wakati Pele akiwa na rekodi ya mabao 12, Eusebio alifunga magoli tisa.

On stage: Pele's performance in the World Cup with Brazil, particularly in 1970, was outstanding
Kiwango cha mchawi wa soka Pele akiwa na Brazil katika kombe la dunia kilikuwa juu hususani mwaka 1970.

Not level: Argentina legend Maradona scored eight World Cup goals, and Messi has a way to go to meet that
Legendary wa Argentina Maradona alifunga magoli nane katika kombe la dunia na hivyo kumfanya Messi kuwa na safari ndefu ya kufikia kiwango cha mzaliwa huyu mwenzake wa Argentina.

Improvement needed: Argentina reached the World Cup final in 1990, losing 1-0 to West Germany in Italy, but have not even reached the last four since and last won the tournament in 1986 in Mexico
Ubora zaidi unatakiwa: Argentina ilifika fainali ya kombe la dunia mwaka 1990 ambapo ilifungwa na goli 1-0 na Ujerumani Magharibi nchini Italia, lakini haijafikia nusu fainali tangu wakati huo na ilishinda kwa mara ya mwisho kombe hilo mwaka 1986 nchini Mexico


'Tulikuwa na kipindi kizuri cha matokeo ya ushindi katika micheo ya kuwania kufuzu kwa ushindi wa mchezo wa ugenini nchini Colombia (ushindi wa 2-1 mwezi Novemba 2011) kwangu mimi ulikuwa ni mwanzo mzuri, tumecheza michezo kadhaa ya kirafiki miongoni mwa hiyo ni dhidi ya vikosi bora duniani na tulifanya vizuri pia.

'Kwasasa tunajua ni michuano hiyo ni habari nyingine na lolote linaweza kutokezea michezo hiyo itakapo anza. Tungependa kuwa na bahati hiyo, nina matumaini wachezaji wetu watakuwa wakielekea Brazil tukiwa katika kiwango kizuri kwasababu kwani tutakuwa tukimuhitaji kila mmoja.'

Kiwango cha Messi kipindi hiki kimeshuka, lakini rekodi yake ya magoli 19 katika michezo 24 aliyoichezea klabu yake ya Barcelona kimekuwa kinaimarika.

Majeraha yamemuweka nje ya uwanja kwa miezi miwili kati ya Novemba na January, na mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anakiri kuwa bado anajifunza kwa lengo la kujiimarisha zaidi kisoka.

No comments:

Post a Comment