KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, February 20, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL: FIFA YATOA MUDA ZAIDI KWA CURITIBA KUMALIZA UJENZI WAKE LICHA YA KUWA NYUMA YA MUDA

Judgement day: Curitiba umezidi kupewa muda zaidi kukamilisha ujenzi.
Shirkisho la soka dunian FIFA limeondoa tishio lake la kuuondoa uwanja wa Curitiba nchini Brazil kuandaa michezo ya kombe la dunia na imethibtisha kuwa michezo minne itachezwa katika uwanja huo.

Shughuli za ujenzi wa uwanja huo zimekuwa zikikabiliwa na matukio kadhaa ya ucheleweshaji wa kumalizika kwa uwanja huo lakini mtendaji mkuu wa FIFA Jerome Valcke amesema uwanja huo bado unakabiliwa na matatizo ya muda katika kukamilika kwake tayari kwa ajili ya michezo ya kombe la dunia mwezi Juni

Some way off: The Arena da Baixada stadium, being rebuilt for the 2014 World Cup
The Arena da Baixada mmoja wa viwanja vilivyojengwa maalumu kwa ajili ya kombe la duni.

Preparation: Workers are pictured inside the Arena da Baixada stadium on Monday
Wafanyakazi wakiwa ndani ya uwanja wa Arena da Baixada Jumatatu

Michezo minne ya kundi hilo inajumusha ule wa mabingwa watetezi Hispania dhidi ya Australia.

Valcke amesema kupitia mtandao wa Twitter 
'Curitiba imethibishwa kuwa utakuwa uwanja utakaotumika kwa michezo ya kombe la dunia.

Curitiba utwakuwa uwanja mwenyeji wa mchezo baina ya Iran dhidi ya Nigeria, Honduras dhidi ya Ecuador, Australia dhidi ya Spain na Algeria dhidi ya Russia.
Scheduled: Curitiba will host Iran vs Nigeria, Honduras v Ecuador, Australia v Spain and Algeria v Russia.
Ratiba: Curitiba mwenyeji wa michezo ya Iran dhidi ya Nigeria, Honduras dhidi ya Ecuador, Australia dhidi ya Spain na Algeria dhidi ya Russia.
Some way to go: The view from outside the stadium last week shows the work that needs to be done
Muonekano wa nje wa uwanja huo ukionekana ukiendelea kujengwa

No comments:

Post a Comment