Timu nyingine katika kundi hilo ni kikosi kipya katika soka la Ulaya cha
jimbo la Gibralter.
Gibralter ilikubaliwa kuwa mwanachama mpya wa UEFA
mwaka jana na ilibidi kubadilishwa kundi baada ya kupangwa katika kundi
moja la C na Uhispania, nchi ambayo inadai kuwa jimbo hilo ni lake.
Hatua hiyo inaziweka Uhispania na Uingereza katika mvutano mkubwa,
ambapo nayo Uingereza inadai kuwa Gibralter ni jimbo lake.
Mchezo wa mwisho wa kufuzu kwa ajili ya fainali hizo zitakazofanyika
nchini Ufaransa kuanzia Juni 10 hadi Julai 10 mwaka 2016 utakuwa Oktoba 8
, 2015 dhidi ya Irland na Oktober 11, 2015 dhidi ya Georgia.
Group A
Netherlands, Czech Republic, Turkey, Latvia, Iceland, Kazakhstan
Group B
Bosnia and Herzegovina, Belgium, Israel, Wales, Cyprus, Andorra
Group C
Spain, Ukraine, Slovakia, Belarus, Former Yugoslav Republic of Macedonia, Luxembourg
Group D
Germany, Republic of Ireland, Poland, Scotland, Georgia, Gibraltar
Group E
England, Switzerland, Slovenia, Estonia, Lithuania, San Marino
Group F
Greece, Hungary, Romania, Finland, Northern Ireland, Faroe Islands
Group G
Russia, Sweden, Austria, Montenegro, Moldova, Liechtenstein
Group H
Italy, Croatia, Norway, Bulgaria, Azerbaijan, Malta
Group I
Portugal, Denmark, Serbia, Armenia, Albania
Bye to finals (hosts): France

![]() |
Kocha wa Ujerumani Joachim Loew |
Kocha
Joachim Loew alikuwa na haya ya kusema.
"Nafikiri , tukiangalia kwa upande wa kimichezo, ni hali ya kuvutia,
lakini pia inagusa hali halisi, pamoja na shauku. Kwa Ireland na
Scotland, hapa tunafahamu la kufanya, kwa kuwa tunajua jinsi timu hizi
zinavyocheza.
Kwa hiyo nafikiri ni kundi la kuvutia kwetu. Tumekuwa kila
mara na kiwango, cha kuweza kushinda katika makundi na pia kufuzu
kucheza katika fainali."
Kwa upande wa Gibralter nchi ambayo ina wakaazi 30,000 ni kibarua kigumu
sana kuweza kufuzu kwa ajili ya fainali hizi zitakazokuwa na washiriki
24 mara hii nchini Ufaransa, lakini Gibralter ina shauku kushiriki
katika zoezi hilo.
No comments:
Post a Comment