Akiwa na umri wa miaka 53 inaarifiwa kuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Argentina Diego Maradona amekuwa katika mazungumzo na klabu ya Deportivo
Riestra, ambayo inashiriki ligi ya chini kabisa ya kwa lengo la kujiunga nao mpaka kumalizika kwa msimu.
Maradona amekuwa ameshauriwa kujiunga na Riestra na mmoja wa washauri wake ambao wana miliki hisa ndani ya klabu hiyo na huenda akaanza kucheza mchezo wake wa kwanza mapema mwezi ujao.
Nyota huyo aliyeshinda taji la kombe la duniua mwaka 1986 anajina na utani la ‘God’ nyumbani kwao amekuwa akipigana na kupunguza uzito katika siku za hivi karibuni kwa lengo kujiweka katika umbo zuri kabla ya kuanza mchezo wake wa kwanza March 23.
Victor More, kiungo wa timu hiyo amenukuliwa akisema yuko tayari kuivua jezi yake nambari 10 mgongoni na kumkabidhi Maradona atakapo saini kuichezea klabu hiyo na pengine mkongwe huyo anayetumia mguu wa kushoto akarejea kuitendea haki jezi hiyo aliyokuwa akiivaa enzi zake
No comments:
Post a Comment