Nahodha John Terry hii leo ameipa ushindi Chlesea kwa bao pekee la dakika ya mwisho dhidi ya Everton na kuendelea kujidhatiti zaid kileleni mwa msimamo wa ligi kwa timu yake katika Barclays Premier League.
Ilikuwa ikidhaniwa pengine kikosi cha Jose Mourinho kingeambulia alama moja kwani mchezo ulikwenda bila mabao mpaka pale Phil Jagielka alipomfanyia madhambi Ramires.
Frank Lampard alipiga -free-kick- iliyompita Tim Howard.
Chelsea
sasa itakuwa inajipanga kwa safari ya kuwafuata Galatasaray kuelekea katika mchezo wa hatua ya mtoano ya 16 bora ya michuano Champions League mchezo wa kwanza dhidi ya kikosi kikisi cha Didier Drogba mchezo ambao utapigwa Jumatano.
Frank Lampard akipiga mpira wa free-kick.
MATCH FACTS
CHELSEA (4-2-3-1): Cech
7: Ivanovic 7, Terry 8, Cahill 8, Azpilicueta 7: Matic 7, Lampard 7:
Willian 5 (Torres 62, 4.5), Hazard 5.5, Oscar 5 (Ramires 46, 6): Eto’o 6
(Schurrle 69, 6). Subs not used: Schwarzer, Cole, Salah, Ba.
Booked: Oscar.
Goal: Howard (OG 90+3mins)
EVERTON (4-2-3-1): Howard 7: Coleman 7, Jagielka 7, Distin 8.5, Baines 7.5: Barry 7, McCarthy 7: Osman 7.5 (Barkley 60, 5.5), Naismith 7, Pienaar 6.5 (McGeady 80, 5): Mirallas 7.5 (Deulofeu 75, 6). Subs not used: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Garbutt, Stones.
Booked: Barry, Jagielka.
Attendance: 41,850
Referee: Lee Probert
Man of the Match: Sylvain Distin
Booked: Oscar.
Goal: Howard (OG 90+3mins)
EVERTON (4-2-3-1): Howard 7: Coleman 7, Jagielka 7, Distin 8.5, Baines 7.5: Barry 7, McCarthy 7: Osman 7.5 (Barkley 60, 5.5), Naismith 7, Pienaar 6.5 (McGeady 80, 5): Mirallas 7.5 (Deulofeu 75, 6). Subs not used: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Garbutt, Stones.
Booked: Barry, Jagielka.
Attendance: 41,850
Referee: Lee Probert
Man of the Match: Sylvain Distin
No comments:
Post a Comment