KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, February 17, 2014

Thiery Henry anasema kuwa Lionel Messi " is from another world"

 Thiery Henry anaamini kuwa Lionel Messi is "from another world" kwasababu nyota huyo mwenzake wa zamani ana uwezo usiomithilika katika mpira wa miguu.

mshambuliaji huyo wa zamani wa Ufaransa aliwahi kucheza kwa miaka mitatu na Muajentina huyo kuanzia mwaka 2007 mpaka 2010 na amesema kuwa amemshuhudia mchezaji huyo namba kumi mgongoni akifanya vitu adimu ambavyo huko nyuma hakudhani.

Akiongea na El Mundo Deportive amesema:
 He's from another world, the best.

No comments:

Post a Comment