KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, April 22, 2014

Heavy weight fight: Wladimir Klitschko ni bingwa wa uzito wa juu wa muongo huu lakini Alex Leapai kitu kingine. Jumamosi patachimbika

Wladimir Klitschko ni bingwa wa uzito wa juu duniani na amechangia sana ngumi katika uzito wake kwa karibu muongo mzima. 

Ana wakosoaji wengi nyuma yake ambao wanadhani aina ya upiganaji wake ni wa kiwango dhaifu,wapo hata waliothubutu kudhani na kutoa maoni yao kuwa ubingwa wake ni wa zama mbovu za wapiganaji wa uzito wake.

Licha ya yote hayo bado ukweli utabaki palepale kuwa ndiye bondia mwenye rekodi kushinda mataji kibao ya WBO, WBO “Super”, IBF, WBA “Super”, mwenye rekodi ya kushinda mapambano 61 kupigwa matatu huku mapambano 51 akishinda kwa KO.

Hiyo ni rekodi yake ya ubingwa ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa umakini na inapaswa kuheshimiwa.

Wlad ana faida kubwa dhidi ya mpinzani wake wa tarehe 26/04/2014 ambazo ni sifa ya uzito, urefu na uzoefu.

BoxNation huko UK wameamua kutokuonyesha pambano hilo na badala yake litaonyeshwa bure na Eurosport huko UK.


Katika mapambano ya hivi karibuni,Klitschko alikuwa akitumia ukubwa wa mwili wake kuwaangusha chini wapinzani wake na kuwakandamiza chini akitumia urefu na mwili na hapo ndipo hasa ukosoaji mkubwa dhidi yake unapoibukia, lakini bado ana uwezo na kiwango kikubwa cha ngumu bado hajazitumia.

Watu wengi wadau wa ngumi wanamuamini kuwa huenda rekodi yake ya kupigwa mapambano matatu ikatibuliwa na Leapai, huku majibu ya maswali yakisubiriwa Jumamosi.

Alex Leapai ni msafiri kutoka Samoa akipitia Australia. Kuna mengi yanayojulikana kumuhusu nje yeye ambaye anatokea ukanda wa kusini.

Pambano lake la mwisho kucheza lilikuwa ni dhidi ya Denis Boytsov la kusaka nafasi ya kucheza mchezo wa kuwania ubingwa wa WBO, si watu wengi walimpa nafasi ya kushinda.


Rekodi yake ya kushinda michezo 30, kupoteza 4 na sare 3 huku michezo 24 akishinda kwa KO, inaonekana iko sawa katika maandishi, bado unapaswa kukumbuka pambano lake la mwisho ambalo alipoteza  bondia mbishi Kevin Johnson mwaka 2012 ambapo alifika raundi ya 9 na kumalizwa kwa TKO.

Leapai mrefu wa futi 6 dhidi ya Klitschko mwenye urefu wa futi 6 nchi 6, uzito wake ni paundi 235 dhidi ya Klitschko mwenye uzito wa paundi 245 na kinacho muangusha ni kuwa na rekodi ya michezo nusu ya idadi ya michezo ya mpinzani wake Klitschko.

Jumamosi si mbali mimi na wewe tunasubiri
IBF/IBO Heavyweight Champion, WBO/WBA Heavyweight Super Champion and „The Ring Magazine“ World Heavyweight Champion Wladimir Klitschko will face Alex Leapai from Samoa on April 26th at the König-Pilsener-ARENA Oberhausen (Germany). The press conference of Champion Wladimir Klitschko (61-3, 52 KOs) and mandatory challenger Alex Leapai (30-4-3, 24 KOs) took place in Düsseldorf. The media presence was quite impressive with about 100 representatives and 20 camera crews.
Once more Wladimir Klitschko pointed out the respect for his opponent: “I’m looking forward to the challenge. We can see that Alex is highly motivated and he is here to win. I will not underestimate him on Saturday evening”, said the 38 year old but added: “Welcome to big time boxing, Alex!”.
His opponent was also very respectful, but did not seem meek at all. “You are getting the best show, you are able to watch. I am here to win. I have been dreaming about this for many years. Everybody will see this fight and we will write history”, says Leapai.
Leapai’s coach Noel Thornberry thanked Klitschko and his management. “Alex will be the first Australian Heavyweight Champion. He will take this chance to win four titles.”
“We will see an exciting fight with a lot of action”, says Wladimir Klitschko. “I am sure, that our fight will be spectacular. His style of boxing can be compared to Mike Tyson’s style. I am happy to hear that he is prepared for twelve rounds, but we are on a total different level technically. I will defeat him on Saturday.”
There was no trace of provocation. Just a little interruption from former World Heavyweight Champion Shannon “The Cannon” Briggs caused quite a stir. Briggs, who already loudly demanded a fight against Wladimir Klitschko at Klitschko’s Training Camp in Miami weeks ago, visited the press conference and expressed his wish once again.

Read more at http://www.boxingnews24.com/2014/04/briggs-storms-klitschkoleapai-press-conference/#EJxKbgW52MrCKpAb.99

No comments:

Post a Comment