KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, May 19, 2014

England watua Ureno kwa wakianza maandalizi ya Brazil

Daniel Sturridge akiwa na Alex Oxlade-Chamberlain na Jack Wilshere
Nyota kadhaa wanao unda kikosi cha timu ya taifa ya England wameelekea nchini Ureno kwa ajili ya kambi ya maandalizi kuelekea fainali kombe la dunia.

Nyota hao wote walionekana wakiwa na furaha wakiwa kwenye ndege kabla ya michuano hiyo mikubwa  katika historia ya kombe la dunia.

Pichani ya chini imewekwa na mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge katika ukurasa wake wa mtandao wa twitter anaonekana akiwa na Jack Wilshere  Alex Oxlade-Chamberlain.
Chilled: Raheem Sterling relaxes in the background as Oxlade-Chamberlain and Sturridge get together

Ratiba ya England 

May 19: Leave for Portugal training camp

May 30: England v Peru, Wembley, 8pm
June 4: England v Ecuador, Miami, 8pm
June 7: England v Honduras, Miami, 9.45pm
June 8: Fly to Brazil
June 14: England v Italy, Group D, Manaus, 11pm

Kikosi kizima cha wachezaji 23 cha Roy Hodgson’s 23 pamoja na  John Stones na  Jon Flanagan, kitakuwa Vale do Lobo resort kuanza maandalizi ya Brazil.

England watacheza na Peru katika dimba la Wembley Ijumaa ya Mei 30, ukuwa ni mchezo wao wa kwanza wa maandalizi kabla ya kukutana na Ecuador mjini Miami Juni 4 siku mbili baada ya vikosi vyote vya timu za taifa kutangwa.

Honduras watakuwa wapinzani wa  mwisho Juni 7 kabla ya kuanza safari ya kuelekea Brazil sku itakayofuata.

England wataanza kampeni mjini Manaus Juni 14 dhidi ya Italia.

No comments:

Post a Comment