Pages - Menu
Home
Contact
Audio&Video
Profiles
Search
Education
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com
AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA.
66666666607 AU 0717166607
Thursday, May 8, 2014
Siku chache kuelekea world cup, Polisi wa Brazil wagomea mazingira
Polisi nchini Brazil wanafanya mgomo wa saa 24 wakidai mazingira bora ya utendaji kazi, ikiwa ni siku 37 pekee kabla ya nchi hiyo kuandaa dimba la Kombe la Dunia. Polisi imetishia tena kugoma wakati wa tamasha hilo la soka la kimataifa. Polisi wamegoma katika miji kadhaa itakayoandaa Kombe la Dunia pamoja na mji mkuu Rio, ambao utaandaa mechi saba ikiwemo fainali ya dimba hilo mnamo Julai 13. Wamefanya maandamano ya amani, wakati kocha wa timu ya taifa Luiz Felipe Scolari akikizindua kikosi chake kitakachoshiriki kwenye kinyang'anyiro hicho.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment