KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 13, 2014

Bacary Sagna ajiunga na mabingwa wa Premier League Man City


Arsenal confirm Sagna to Man City deal
Bacary Sagna ataondoka Arsenal mwezi huu

Arsenal imethibitisha kuondoka kwa Bacary Sagna, na kubainisha kuwa mlinzi huyo atajiunga na Manchester City mkataba wake utakapo malizika.
Sagna amekuwa na Gunners kwa kipindi cha miaka saba mkataba wake utafikia kikomo June 30, akiwa tayari amekubali kuelekea kwa mabingwa hao wa Premier League licha ya kuwepo na ofa mbalimbali kutoka Arsenal.
Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye ameichezea klabu hiyo michezo na timu ya taifa jumla ya michezo 51 msimu uliopita iliaminika kuwa kuwa amepewa mkataba wa miaka miwili wa kuongeza muda wake Emirate ambayo ilionekana kukiuka sera yake ya wachezaji wasiozidi miaka 30 kuendelea kusalia katika klabu hiyo.
Paris Saint-Germain na Galatasaray wote walionyesha nia ya kumtaka mlinzi huyo lakini mwenyewe ameonekana kutaka kuendelea na soka ndani ya Premier League.
Katika taarifa yake klabu ya imenukuliwa ikisema 
 ‘Everyone at Arsenal Football Club would like to thank Bacary for his fantastic contribution, and wish him all the best for the future.’
Sagna mwenye amewaaga mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

 To be fair, I don’t even know where to start or even how to say it… but I just wanna thank the whole Arsenal FC… a family to me, a club who taught me so much in 7 years, a club where I had the chance to progress day by day, a club who always gave me his trust whenever I was personally not at my best, a club who change the kid I was to the man I am today, a club where I had the pleasure to give 200 pr cent every game.
‘I wanna thank the whole staff working at the club, the fans for accepting me so fast, making it smoove for myself and my family, my team mates witch I consider my true friends today and I had a great pleasure learning with them.’

No comments:

Post a Comment