Cesc Fabregas ajiunga na Chelsea (Picture: Chelsea FC) |
Chelsea imetangaza kumsajili kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas, na kuwacha mashabiki wa Arsenal wakiwa na kiwewe juu ya mpango huo.
Uhamisho huo sasa zimethibitisha juu ya tetesi zilizodumu kwa wiki mbili ambapo Mhispania huyo akionekana kama si muhimu tena ndani ya Camp Nou, lakini wakitangaza kumuachia Fabregas mpaka mpaka watakapo msajili nyota wa Croatia
Ivan Rakitic kabla ya Fabregas kuondoka.
Hata hivyo hivi leo Blues wametangaza kutua kwa nyota huyo wa zamani wa Arsenal
siku 10 baada ya kuondoaka kwa mkongwe Frank Lampard, kwa ada inadhaniwa kufikia pauni milioni £27.
Kiungo huyo amekabidhiwa jezi namba 4 ndani ya Stamford Bridge, akisaini kwa kipindi cha miaka mitano.
Taarifa hizi haziwafurahishi Gunners wakati ambapo bosi wake Arsene Wenger alipotangaza kupiga chini mpango wa kumrejesha kiungo huyo Emirates.
Anakaririwa Fabregas akisema
‘Kwanza namshukuru kila mtu ndani ya FC Barcelona ambako nilifurahia sana kipindi cha miaka yangu mitatu niliyokuwepo katika timu hiyo kubwa. Ilikuwa ni klabu yangu ya tangu utoto na na siku zote nitakuwa najivunia na kuheshimu kuwa nilikuwa katika timu kubwa,’ Fabregas ameuambia mtandao wa klabu ya Chelsea.
‘I do feel that I have unfinished business in the Premier League and now is the right time to return.
‘I considered all the other offers very carefully and I firmly
believe that Chelsea is the best choice. They match my footballing
ambitions with their hunger and desire to win trophies. They have an
amazing squad of players and an incredible manager. I am fully committed
to this team and I can’t wait to start playing.’
No comments:
Post a Comment