KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 26, 2014

Usajili kiangazi: United yamsajili kiungo wa Bilbao Ander Herera kwa pauni milioni £29

Yametimia: Herrera akionyesha jezi ya United akiwa na Sir Bobby Charlton baada ya kukamisha uhamisho wenye thamani ya pauni milioni £29
Manchester United imekamilisha usajili wa Ander Herrera kwa pauni milioni £29 baada ya kukubali kuuvunja mkataba wake ndani ya Athletic Bilbao.

 
Bilbao inayoshiriki ligi kuu ya Hispania 'Liga club' hapo awali iligomea ombi la timu ya Louis van Gaal United, lakini baada ya kiungo huyo wa kati kufanikiwa katika vipimo ndani ya Carrington Jumatano, mpango hatimaye umekubalika rasmi.
Akiwa na umri wa miaka 24 Herera anathibishwa na United kuwa mchezaji wa kwanza kusajili na Van Gaal aliyechukua nafasi hiyo ya umeneja Old Trafford kutoka kwa David Moyes.

Carrington: The midfielder shakes the hand of Sir Bobby Charlton outside United's training ground
Nje ya viunga vya Carrington: Kiungo Herera anapeana mikoni na muasisi Sir Bobby Charlton

Rich history: Herrera poses next to a mosaic at United's Carrington training ground
Herrera akipiga picha ya kumbukumbu katika nembo kubwa ya uwanja wa mazoezi wa United Carrington

Taarifa ya Bilbao mbali ya kutangaza rasmi juu ya maamuzi yake hayo ya kumuachia kiungo huyo pia imemshukuru kiwa utumishi wake wa miaka mitatu