KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 13, 2014

Uwanja wa Manaus aibu tupu nyasi zake zapakwa rangi kuelekea mchezo wa ufunzi wa kundi D Italia dhidi ya England

The Arena da Amazonia will host England v Italy (Picture: AP)
Mchezo wa ufunguzi wa kundi D kati ya England na Italia unatarajiwa kuchezwa hapo kesho usiku katikati ya Amazon rainforest, huku bosi wa England Roy Hodgson akiwahakikishia mashabiki atakuwa akiangalia kwanza ubora wa sehemu ya kucheza kabla ya kuelekea katika uwanja wa Manaus kufanfa mazoezi hapo hii leo.
Fifa ilikataa kuthibitisha kuwa uwanja huo wenye rangi makovu ya rangi ya brown sehemu yake ya kuchezea ulipakwa rangi ya wafanyakazi wa uwanja huo ingawa walitanabaisha kuwa uwanja huo ulikuwa ukiendelea na matengenezo.

epa04252107 Ground staff looks after the pitch in the Arena Amazonia stadium in Manaus, Brazil, 12 June 2014. The stadium will host the FIFA World Cup 2014 match between Italy and England on 14 June.   (RESTRICTIONS APPLY: Editorial Use Only, not used in association with any commercial entity - Images must not be used in any form of alert service or push service of any kind including via mobile alert services, downloads to mobile devices or MMS messaging - Images must appear as still images and must not emulate match action video footage - No alteration is made to, and no text or image is superimposed over, any published image which: (a) intentionally obscures or removes a sponsor identification image; or (b) adds or overlays the commercial identification of any third party which is not officially associated with the FIFA World Cup)  EPA/JEON HEON-KYUN   EDITORIAL USE ONLY
England inatarajiwa kufanya mazoezi yake ya leo hapa huku wafanyakazi wakiendelea kupaka rangi nyasi zake.

‘Sehemu ya kuchezea ya uwanja wa Manaus umekuwa katika maandalizi kwa ajili ya fainali ya kombe la dunia. Kwa zaidi ya miezi mitatu, mitigation procedures have been put in place and there continues to be, significant improvement,’ said a spokesman.
‘Wataalamu wa eneo la kuchezea yaani 'Pitch ' kutoka shirikisho la soka duniani FIFA na kamati ya maandalizi LOC wanaridhishwa na maendeleo yake kwa mazoezi na mechi ambapo taratibu zimekuwa zikiendelea’

No comments:

Post a Comment