KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 29, 2014

Didier Drogba ajiunga mazoezini Chelsea kama mpya na huenda akacheza mchezo wa Jumatano

Didier Drogba amerejea tena Chelsea kama mpya na huenda akacheza mchezo wa Jumatano
Father figure: Drogba leads the stretches alongside Mo Salah and Dominic Solanke on Chelsea's first full day of training in Holland


Didier Drogba amerea tena kama kinda wa Chelsea kufuatia hii leo kuanza mazoezi na kikosi cha timu kabla ya kuanza kampeni ya kuwania taji msimu mpya.
Raia huyo wa alikamisha taratibu za kurejea Stamford Bridge wiki iliyopita baada ya kuwa nje ya kikosi hicho kwa miaka na leo akianza mazoezi kwa mara ya kwanza na wenzake katika uwanja w mazoezi wa Papendallaan huko Arnhem nchini Uholanzi.
Licha ya wachezaji aliokuwa nao hapo kabla kama Frank Lampard na Ashley Cole hawako kikosini Drogba anaamini usajili uliofanywa na klabu hiyo msimu huu wa kiangazi kama Fabregas, Diego Costa na Filipe Luis kinaweza kujenga zama mpya kwa 'Blues'.
Mourinho na Drogba wakiwa pamoja tena kabla ya kuanza kampeni ya pamoja kuwania taji la Premier League baada ya miaka tisa kupita