KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, July 20, 2014

Edinson Cavani huenda akachukua nafasi ya Rooney Manchester United

Wakisukumana Edinson Cavani (kulia) huenda akachukua nafasi ya Wayne Rooney Manchester United
Edinson Cavani huenda akarejea katika mawindo ya rada ya Manchester United endapo Wayne Rooney atashindwa kumshawishi Louis van Gaal kuendana na aina ya uchezaji aitakayo kocha huyo mduchi wakati wa ziara ya timu hiyo nchini Marekani USA.
Rooney alikuwa njiani kuondoka United katika siku za mwisho za uongozi wa meneja aliyeondoka kwa heshima Old Trafford Sir Alex Ferguson kwakuwa hakufanania na mbinu za kiuchezaji kama ilivyokuwa kwa Robin van Persie.
Pals: Rooney and Juan Mata pose for a photograph in front of the Beverly Hills sign during pre-season tour
Rooney na Juan Mata
Fans: Mata and Rooney get their photograph taken with supporters by the Beverly Hills sign
Duties: Rooney fulfills his media commitments for the club as part of the pre-season tour