KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, July 20, 2014

Mauricio Pochettino: Tottenham haitafanya usajili mwingine majira haya ya kiangazi.

Pochettino hawana mpango wa kubadilisha kikosi kipindi hiki cha uhamisho wa kiangazi.
Tottenham haitafanya usajili mwingine majira haya ya kiangazi kufuatia Mauricio Pochettino kuwa na imani na kikosi cha msimu uliopita ambacho kilivurunda licha ya usajili wa gharama.
Pochettino atasalia na wachezaji wake ambao waliigharimu klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £100 mwaka jana lakini kilishindwa kufuzu kwa ligi ya mabingwa Ulaya.
Katika mahojiano na The Sun, Bosi wa Spurs amesisitiza kuwa anakiamini kikosi chake cha sasa kuwa kinatosha kwa ubora kuisukuma klabu hiyo mbele, endapo wataendelea na filosofia yake ya ushambuliaji.
Flashpoint: Spurs played their first game under their new boss on Saturday, a fiery 3-3 draw in Seattle
Spurs ilicheza mchezo wa kwanza chini ya bosi mpya Jumamosi ambapo walikwenda sare ya bao 3-3 na Seattle
Faith: The likes of Erik Lamela, in action against Seattle on Saturday, will be given a chance to shine
 Erik Lamela kama anavyoonekana pichani katika mchezo dhidi ya Seattle Jumamosi, kwa kuwatumia wachezaji wake inatarajiwa kung'ara.
Meneja huyo raia wa Argentina amesisitiza pia kuwa usajili wa gharama sio jibu la kufikia mafanikio kama ilivyotokea katika klabu yake msimu uliopita ambapo ameahidi kutokufanya makosa ya katika dirisha ya uhamisho.

Spurs ilimaliza katika nafasi ya sita msimu uliopita

Template: Pochettino was successful at Southampton with a young team playing attacking football
Pochettino alipata mafanikio Southampton akiwa na kikosi cha wachezaji vijana ambayo ilikuwa ikicheza mchezo wa kushambulia