Kocha David Mwamaja abadilisha programu yake ya mazoezi kufuatia kusogezwa mbele kwa tarehe ya kuanza ligi
|
Kocha mku wa kikosi cha maafande wa jeshi la Mageraza
Tanzania Prisons David Mwamaja amesema hana budi kupunguza kasi ya mazoezi kwa
wachezaji wake baada ya kupokea taarifa za kusogezwa mbele kwa kuanza kwa ligi
kuu ya soka Tanzania bara msimu wa mwaka 2014-15.
Mwamaja amesema tayari alikuwa ameshafika katika viwango
vya juu kwenye mzoezi yake, lakini kutokana na taarifa hizoa mbazo zilitolewa
mwanzoni mwa juma hilo, kuna ulazima wa kubadili mfumo ambao utawafanya
wachezaji wake kupata muda wa kupumzika kabla ya kurejea tena katika mazoezi ya
kasi.
|
No comments:
Post a Comment