Francis Miyeyusho: Nasubiri mwezi mtukufu umalizike nianze kazi
|
Bondia Francis Miyeyusho (Pichani juu) amesema atakuwa tayari kurejea
ulingoni mara baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, kufuztia hivi sasa
mapromota wengi wapo kwenye mpango wa kutimiza ibada hiyo ya Swaum.
Miyeyusho amesema baada ya kupanda ulingoni mara mbili
mfululizo miezi miwiwli iliyopita kwa sasa anajifua ipasavyo, huku akisubiri
Promota yoyote ambae atakuwa tayari kumuandalia pambano baada ya mwezi wa Ramadhani.
|
No comments:
Post a Comment