KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 15, 2014

LUIS SUAREZ ATUA BARCELONA KIMYA KIMYA KWA KUJIFICHA LICHA YA ZUIO LA FIFA LA KUTOKUTAMBULISHWA HADHARANI

Atua Rasmi: Luis Suarez akipigwa picha kwa mbinde wakati anawasili Barcelona usiku wa jana
Change of scene: The Uruguayan will complete his £75million move to Barcelona
Change of scene: Mshambuliaji wa kiamatifa wa Uruguay atakamilisha uhamisho wake wa ada ya pauni milioni £75 kujiunga na Barcelona

Journey: Suarez is not allowed to be unveiled by Barcelona while his biting ban is still in force
 Suarez aruhusiwi kutambulishwa na Barcelona wakati huu ambapo anatumikia kifungo cha kumng'ata Chiellini
Kumekuwepo na mawazo kuwa huenda Barcelona wakamtambulisha Suarez kimya kimya kupitia eneo halina mahusino na uwanja au mazingira ya kisoka kukamilisha usajili wa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uruguay kufuatia kuwa ndani ya kibano cha kufungiwa kwa miezi minne kutokana na kumng'ata Giorgio Chiellini wa Italia, Lakini pamoja na hayo bado shirikisho la soka dunianai FIFA ime haramisha zoezi hilo katika mazingira yoyote kipindi hiki akiwa bado yuko ndani ya adhabu hiyo.
Kiongozi wa mambo ya habari wa FIFA Delia Fischer amesema  'Kifungo kinahusisha mambo yote yanayo husiana na mchezo wa mpira wa miguu. Hataweza kufanya lolote linalo husiana na mpira wa miguu hata kama atakuwa amejificha.
'Hata husika hata katika matukio ya soka la Hisani kwa kuwa bado huo ni mchezo wa soka.'
Suarez mwenye umri wa miaka 27, alikata rufaa juu ya ukubwa wa adhabu yake ya kusimama kwa miezi minne pamoja na kutokucheza michezo tisa ya kimataifa na kulipa faini ya faranga 100,000 za Uswiz ambazo ni sawa pauni elfu 66,000, rufaa ambayo hata hivyo ilitupiliwa mbali na kamati ya rufaa ya FIFA.
Anatarajiwa kuwasilisha rufaa yake upya katika mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) katika jaribio lake la mwisho la kutaka kupunguza adhabu yake ambayo inamuweka nje ya mchezo wa mpira wa miguu mpaka mwezi Oktoba.

Number nine: They might not be able to unveil him but Barcelona fans can already buy Suarez's shirt
Jezi namba tisa: Bado Barcelona hawataweza kumthibitisha kwa mashabiki lakini tayari mashabiki wamesha anza kununua fulana zenye jezi namba tisa na jina la Suarez mgongoni.