KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 15, 2014

TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI NCHINI KWAO HUKU KARIBU NUSU MILIONI WAKIWASUBIRI BRANDENBURG GATE

Tayari kuingia kwenye gari lililo na maandishi maalumu ya ushindi wao wa kombe la dunia 2014 barani Amerika kusini, kifuatacho ni kupagawisha mashabiki mitaani.

Mwisho wa safari: Umati mkubwa wa mashabiki wa soka nchini Ujerumani wakiwasubiri wapambanaji wao kuwasili geti la kutokea la Brandenburg asubuhi ya leo.

Tayari kikosi kizima kikiwa kimewasili na kupata mapokezi makubwa ya kufuru
Kma vile wanamuziki kwa furaha (kutoka kushoto) Hummels, Lahm, Durm, Kramer na Muller wote wakionyesha kama vile wanapiga magitaa kumbe ni magitaa hewa yote ni furaha.

Wakila kilaji kwa raha zao! Ozil, Benedikt Hoewedes na Per Mertesacker katika gari la wazi.