KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 15, 2014

RIO FERDINAND KUTOKA MANCHESTER UNITED MPAKA QPR, HARRY REDKNAPP AMETHIBITISHA

Rio Ferdinand akiwasili uwanja wa ndege wa Heathrow hii leo akitokea kazini nchini Brazil kuliko fanyika fainali ya kombe la dunia ambako alikuwa akifanya kazi ya uchambuzi kupitia shirika la utangazaji la nchini Uingereza BBC.
Rio Ferdinand huenda akatangazwa kujiunga na QPR baadaye hii leo baada ya baosi wa klabu hiyo Harry Redknapp kubainisha kuwa atakutana na mlinzi huyo wa zamani wa Manchester kwa mazungumzo.
Mlinzi huyo wa kati kwasasa yuko huru kufuatia kumaliza utumishi wake Old Trafford mwezi uliopita.
Redknapp ameuambia mtandao wa talkSPORT: ‘anarejea leo hivyo nakwenda kukutana naye na nina matumaini tutafikia muafaka.
Selfie: Ferdinand posed for a photo with a fan at Heathrow after jetting back from Brazil
Wakijipiga picha: Ferdinand akijipiga picha na shabiki wake uwanja wa ndege wa Heathrow wakati akirejea kutoka nchini Brazil
Manchester United goodbye: Rio Ferdinand is closing in on a move to newly-promoted QPR
Manchester United kwaheri: Rio Ferdinand anajiunga na klabu yake mpya ya QPR
New role: Rio Ferdinand sits on the BBC sofa with Alan Shearer and Ruud Gullit as he fulfills his punditry duties
Kazi mpya: Rio Ferdinand akiwa amekalia sofa la shirika la utangazaji la nchini Uingereza la BBC akiwa na Alan Shearer na Ruud Gullit akifanya kazi ya uchambuzi wa soka katika fainali za kombe la dunia.


Amekaririwa Harry Redknapp akisema
 ‘Hakuwa mgumu katika mazungumzo. Anataka kucheza na ana gharama.
‘Anataka kuja na kucheza QPR sasa hivyo nina matumaini tutafanikisha mapango huu.’
Interest: Harry Redknapp is hopeful Ferdinand will be a QPR player by the end of the week
Harry Redknapp ana matumaini kuwa Ferdinand ata tua QPR mwishoni mwa wiki.