KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 18, 2014

Masikini Christiano Ronaldo mama yake kidogo atoe mimba yake hakujua kama anazaa mtu maarufu duniani

Mama yake na Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa alijaribu kutoa ujauzito wa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid wakati akiwa mjamzito.
Autobiography iliyotolewa nchini Ureno hii leo imesema kuma mama huyo Dolores Aveiro amedai kuwa daktari wake alikataa kufanya ufisadi hudo wa kibinadamu.
Baada ya hilo kushindikana mama huyo kwa hasira aliamua kurejea nyumbani na kunywa pombe na kufanya mazoezi.
Controversial: Cristiano Ronaldo's mum Dolores Aveiro during the launch of her new book in Lisbon, Portugal.
Mama yake na Cristiano Ronaldo Dolores Aveiro wakati wa uzinduzi w kitabu chake mjini Lisbon, Ureno.
Claim: Dolores Aveiro admitted she tried to have Ronaldo aborted when she was pregnant
Dolores Aveiro amedai kuwa alijaribu kutoa mimba ya Ronaldo alipokuwa ana ujauzito wa nyota huyo.Opening up: Dolores Aveiro launched her new book in Lisbon this week
 According to the Daily Star, Ronaldo’s mum wrote: ‘I wanted to abort but the doctor didn’t support my decision.’
She also revealed Ronaldo found out about the incident.
She added: ‘He told me when he found out, “Look mum, you wanted to abort and now I’m the one who’s pulling the purse-strings in the house.”’
Ronaldo, who plays for Real Madrid after a spell with Manchester United, suffered World Cup heartbreak this summer as Portugal were knocked out at the group stage.
Superstar: Ronaldo has become one of the biggest stars in world football
Ronaldo sasa ni nyota mkubwa duniani

Out: Ronaldo could not help Portugal into the knockout phase of the recent World Cup in Brazil
Ronaldo wa Ureno akiwa ushiriki wa kombe la dunia nchini Brazil