KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, July 18, 2014

Mipira mipya ya Nike yazigawanya kwa rangi ligi kubwa tatu Ulaya, Premier League buluu, La Liga rangi ya chungwa na Serie A rangi ya pinki.

Nike watambulisha mipira mipya aina ya Ordem uliosifiwa zaidi kuwa unasafiri vizuri zaidi hewani (aerodynamically tuned ball) na una viwango vyote. Mpira huu utatumika katika ligi tatu kubwa barani Ulaya England's Premier League, Spain's La Liga na  Italy's Serie A.
Nike imetambulisha mpira mpya wenye jina la 'Ordem', ambao utakuwa ukitumika katika ligi tatu kubwa barani Ulaya England's Premier League, Spain's La Liga na  Italy's Serie A.
Kila ligi itatumia mipira ya rangi yake tofauti na ligi nyingine ambapo Premier League wenyewe watatumia mpira wa rangi ya Buluu ilhali La Liga wakitumia mpira wa rangi ya chungwa na Serie A wakitumia mipira ya rangi ya Pinki.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kampuni hiyo ya utengenezaji wa vifaa vya michezo ni kwamba Ordem ni ingizo bora la vifaa vya Nike kwasasa, ukiwa umetengezwa kwa teknelojia ya kisasa na unasafiri vizuri zaidi unapokuwa hewani (aerodynamically tuned ball).
Mipira hii imeanza kupatikana kuanzia jana July 17 kwa bei ya pauni £95.
We go again! Manchester City will be defending their Premier League title using the new football
Tunarejea. Manchester City watatetea taji la Premier League wakitumia aina mpya ya mpira wa Ordem
Power of three: The Ordem will be used in the Premier League, la Liga and Serie A
Huo hapo juu ndio muonekano wa mipira kama ambavyo inavyoonekana kwa rangi tatu tofauti. Ordem itatumika kwa michezo ya ligi tatu kubwa Ulaya, Premier League rangi ya bluu, la Liga rangi ya chungwa na  Serie A rangi ya pinki.