KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 14, 2014

Ushindi wa Ujerumani wampagawisha nyota wa muziki wa Pop dunia Rihanna, akutana na Pele kwa mara ya kwanza

Hakuna kitu kizuri zaidi ya nchi yako kushinda kombe la dunia lakini kwa mwanamuziki mzaliwa wa Barbados Saint Michael, Barbados  Rihanna ushindi wa Ujerumani dhidi ya Argentina ilikuwa ni zaidi ya furaha. Malkia huyo muziki wa Pop duniani alikuwa akipiga picha kadhaa kuonyesha uwepo wake ndani ya uwanja wa Maracana usiku wa Jumapili akionekana akishangilia ushindi wa Ujerumani wa goli 1-0 la dakika 30 za nyongeza.
Nyota huyo wa muziki aliweka picha akionyesha jezi ya timu ya taifa ya Ujerumani kudhihirisha mahaba yake jukwani
Celebration: Rihanna was relishing the 1-0 extra-time win on Sunday night
Ushangiliaji: Rihanna akifurahia bao 1-0 la dakika za ziada Usiku wa Jumapili.
Naked chef: British chef Jamie Oliver poses with the pop princess at the Maracana
Naked chef: Nyota na mwanamitindo na mtaalamu wa mambo ya vyakula wa Uingereza Jamie Oliver akipiga picha ya kumbukumbu na malkia wa muziki wa Pop Rihanna ndani ya dimba la Maracana
 
Mapema kabla ya mchezo Rihanna aliweka picha mtandaoni akiwa na nguli wa soka duniani Edson Arantes do Nascimento Pele ukiwa ni muda mfupi tu akiwa ametua nchini Brazil kuelekea kwenye mchezo wa fainali.
Rihanna alionekana mwenye furaha na kujisikia faraja kukutana na mtu mashuhuri 'the great Pele' ambapo nyota huyo wa zamani wa soka wa klabu ya Santos na mshambuliaji wa zamani wa New York Cosmos pia na kufurahia huku akipiga picha mfululizo na Rihanna ambazo zilikuwa zinamiminika kupitia ukurasa wake wa mtandao Twitter.

Brazil, Colombia na Ujerumani ni mataifa ambayo Rihanna alikuwa akiyaunga mkono katika fainali hizo kwa wiki kadhaa zilizopita.
Alikuwa pia akimpenda sana James Rodriguez, ambaye amechomoza kama mmoja wa nyota wa kombe la dunia licha ya Colombia kuondolewa mapema katika fainali hizo.

Star duo: Pop sensation Rihanna poses alongside football legend Pele
Rihanna akiwa na nguli wa soka wa dunia Pele
Meet and greet: Rihanna hugs Brazilian legend Pele after jetting into Brazil
Rihanna akimkumbatia 'The Legendary' Pele baada ya kuwasili Brazil
Supportive: Rihanna sends a message of support to the World Cup hosts
Rihanna alituma ujumbe wa kuwaunga mkono wenyeji wa fainali Brazil
 Team Colombia: Rihanna seems to be a big fan of James Rodriguez
Rihanna alio0nekana kuvutiwa na James Rodriguez 

No comments:

Post a Comment