KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, July 9, 2014

Vicheko kwa sana na vilio vya kumwaga. Hebu anagalia uchungu wa maumivu ya kufungwa kupitia picha hizi ukianza na Wajerumani wenye kicheko.

Haooo haoooo wameinama wameinuka wanaona haya haooooo hahahhhahahahahahaaaaaa

Nahama nchi mimi kuanzia leo nahamiaa Tanzania  hiiiiiiii!

Da! bora yesheeee
Pambavu zao

Aaaaa hiiiii hivi kwanini jamaniii

Hapa ndo kwanza ubao unasomeka 4-0 tumeikata nusu idadi
Agraaaaaaaaaaaaaaaaa
Mama siangaliiii tena tuondoke

Zaidi ya maumivu

Mkono shavuni na jezi nitavua

Da! hivi kweli ndo sisi