KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 7, 2014

David Luiz atinga mazoezini PSG kwa mara ya kwanza na kuungana na Wa-Brazil Silva na Moura

Wote wakitabasamu: David Luiz anaonekana mwenye furaha kukutana na wachezaji wenzake wa PSG ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu kujiunga na klabu hiyo akitokea Chelsea

David Luiz ameanza mazoezi na klabu yake mpya ya PSG kwa mara ya kwanza baada ya kurejea  kutoka katika mapumziko marefu ya baada  kumalizika kwa fainali ya kombe la dunia zilizo fanyika nchini Brazil.
Mlinzi huyo ameonekana akiwa na hamu ya hali ya juu akiungana na wenzake wa kikosi cha Brazil Thiago Silva na Lucas Moura katika mazoezi yao kwa mara ya kwanza kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya nchini Ufaransa.
Mlinzi huyo wa Brazil alinunuliwa na kigogo hicho cha Ufaransa kwa thamani ya juu ya rekodi ya klabu hiyo kiasi cha pauni milioni £50 akitokea Chelsea kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la dunia.
New surroundings: David Luiz poses at the PSG training ground as he reports for his new job for the first time
Mazingira mapya: Luiz akipiga uwanja wa mazoezi wa  PSG wakati akiripoti kazini ofisi mpya kwa mara ya kwanza.
Familiar faces: The defender stands between his Brazil team-mates Lucas Moura and Maxwell
Familia ya Brazil imekuatana Lucas Moura na pale Maxwell
In the running: The former Chelsea defender took part in a light session after returning from World Cup duty
Hapa kazi imeanza