KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 27, 2014

Eto'o ajiunga Goodson Park

Kalamu katika karatasi: Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel Eto'o, akiwa karibu na afisa wa usajili wa wachezaji wa Everton David Harrison wakati wa kusaini kwa miaka miwili ndani ya Goodison Park
Everton wametangaza kumsajili Samuel Eto'o aliye huru kwa mkataba wa miaka miwili.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 33 aliachwa na Chelsea mapema kiangazi baada ya kuhitimisha mkataba wake na amejiunga na Toffees baada ya mipango yake ya kujiunga na Liverpool kuvunjika

Kupitia ukurasa wake wa tweeter ameandika 
 'Kiofisi mchezaja wa Everton...!!! tuwe tayari kwa changamoto mpya!!!' 
 
All smiles: Eto'o holds aloft the Everton shirt at the club's Finch Farm training ground
Ni tabasamu: Eto'o akishikilia jezi ya Everton katika uwanja wa mazoezi wa Finch Farm
  
Eto'o ameongeza 
'Nina furaha kuwa hapa, naangalia mbele kuwa ndani ya jezi ya rangi ya buluu ya Everton.