KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 7, 2014

Frank Lampard aanza maisha mapya jijini Manchester baada ya kujiunga na Manchester City

Frank Lampard anaanza maisha mapya nchi jijini Manchester nchini England ambapo usiku wa jana ameonekana akitoka kwa chakula cha jioni katika mgahawa mmoja maarufu San Carlo akiwa na mchumba wake Christine Bleakley baada ya kuanza siku yake ya kwanza ya mazoezi na klabu yake mpya ya Manchester City.

Lampard amesema kuwa kujiunga na klabu nyingine ndani ya 'Premier League' baada ya utumishi wake wa miaka 13 katika klabu ya Chelsea anahisi 'very strange' ingawa amebadili mji wa kaskazini ya nchi.
Happy couple: The England midfielder seems to be enjoying himself in a new city with his fiancee
Kiungo wa kimataifa wa England anaonekana akifurahia maisha ya mji mpya akiwa na mchumba wake.
Big night out: Lampard escaped the Lowry Hotel in Manchester to check out the city
Lampard akiranda randa katika mji wa Manchester

Kiungo huyo sasa hatavalia tena jezi namba 18 ndani ya viunga vya Etihad mpaka Januari atakapo rejea New York City FC kabla ya kuanza msimu wa ligi ya Marekani MLS.

No comments:

Post a Comment