KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 23, 2014

Real Madrid si mali kitu mbele ya Atletico nchini Hispania baada ya kukubali kipigo katika kuwania ngao Supercopa

Furaha: Mario Mandzukic (katikati) akishangilia boli lake la dakika la pili dhidi ya Real Madrid dhidi ya Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo
Kelele za majirani wa Real Madrid zimesikika kwa mara nyingine tena katika saa za mapema asubuhi ya JUmamosi katika mji mkuu wa Hispania. Msimu uliopita kikosi cha meneja Diego Simeone kiliwaduwaza Real Madrid kwa kutwaa taji la La Liga title, mara hii ni katika 'Spanish Super Cup'.
Pesa inaweza kununua wachezaji bora kutoka kote duniani lakini kwa upande wa Atletico Madrid ni hamasa na kujipanga vizuri.
Clinical: Atletico Madrid's Mario Mandzukic makes it 1-0 against Real Madrid in the second leg match of the Spanish Super Cup
Atletico Madrid's Mario Mandzukic alifunga goli pekee katika ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa marudiano wa Spanish Super Cup
Goal hero: Atletico striker Mario Mandzukic lifts the Super Cup trophy after beating Real Madrid on Friday
Mfungaji wa goli la ushindi: Mshambuliaji wa Atletico Mario Mandzukic akinyanyua juu kikombe cha Super Cup baada ya kuwachapa wapinzani wao wa jiji la Madrid Real Madrid usiku wa kumakia leo
Glory boys: Atletico have started the season as they ended the last, by eclipsing their illustrious neighbours and picking up a trophy
KIkosi cha ushindi: Atletico wameanza vizuri msimu kama walivyomaliza msimu uliopita.