KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, September 17, 2014

Nafuu kwa Brendan Rodgers katika kikosi cha Liverpool Daniel Sturridge amerejea mazoezini kuonekana uwanjani Jumanne ijayo

Daniel Sturridge amerejea mazoezini  Jumatano wakati akiendelea kuponya majeraha yake polepole
Liverpool imeanza kupata nguvu mpya kufuatia Daniel Sturridge kurejea katika mazoezi mepesi katika uwanja wa mazoezi wa Melwood wakati akiendelea kuponya majeraha ya paja.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England amekuwa akitarajiwa kukosekana kwa wiki tatu baada ya kupata matatizo ya paja wakati akiwa katika majukumu ya kimataifa  lakini sasa anaonekana anarejea kuliko ilivyo tazamiwa.

Sturridge ameonekana akikimbia kwa kujiamini akigeuka na kukimbia na mpira wakati akifanya mazoezi binafsi asubuhi ya leo.
The striker had been expected to miss three weeks after suffering the thigh problem with England
Mshambuliaji huyo alitazamiwa kurejea baada ya wiki tatu kufuatia maumivu ya paja akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya England
Sturridge limped out of a training session with England and missed their Euro 2016 qualifier in Switzerland
Sturridge hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya England na kupelekea kukosekana katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za ulaya Switzerland
Liverpool manager Brendan Rodgers was furious that Sturridge had not been given enough time to recover after he played 89 minutes in England's 1-0 friendly win over Norway
Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers alichukizwa na kitendo cha Sturridge kutokupewa muda wa kutosha kuponya majeraha yake baada ya kuitumikia England kwa dakika 89 katika mchezo wa kirafikia wa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norway

Bado meneja Brendan Rodgers ana hofu kumtumbukiza kikosini Sturridge mapema na huenda asiwepo kikosini Jumamosi dhidi ya West Ham katika mchezi wa Barclays Primier League.

Jumanne ijayo katika mchezo wa Capital One Cup dhidi ya Middlesbrough uwanja wa Anfield huenda akarejea kama ataendelea vizuri na kuponya majeraha hayo.

Kikosi kizima cha Liverpool hii leo kilikuwa katika mapumziko ya siku moja kufuatia ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Ludogorets Razgrad katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne.
Sturridge trained alone at Melwood as the rest of the squad recovered from Tuesday night's Champions League match against Ludogorets Razgrad
Sturridge akifanya mazoezi ya pekee uwanja wa mazoezi wa Melwood wakati kikosi kizima cha LIverpool kikila kuku baada ya ushindi wao wa bao 2-1 dhidi ya Ludogorets Razgrad katika ligi ya mabingwa Ulaya
Brendan Rodgers must decide when to reintroduce Sturridge to the team