KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 1, 2014

Shinji Kagawa arejea Borussia Dotmund na kujisikia kama yuko nyumbani Ujerumani

Kazini Ujerumani: Shinji Kagawa ndani ya jezi ya mazoezi ya Dortmund
Shinji Kagawa alikuwa ni kama anarejea nyumbani akiwa katika hali yha kawaida alipowasili Borussia Dortmund akitokea Manchester United ambapo alipata mapokezi makubwa kutoka kwa meneja Jurgen Klopp.

Kagawa mwenye umri wa miaka 25 ameungana tena na klabu yake hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ujrrumani maarufu kama Bundesliga kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni £6.3 ikiwa ni miaka miwili tangu kuihama na kujiunga na United.

Kagawa amesaini mkataba wa miaka minne ambapo Dortmund wao walimuuza kiungo huyo kwa United kwa pauni milioni £12 kwaka 2012. 
Hold it: Kagawa is put through his paces on his return to the Bundesliga club
Kagawa akipiga tizi ni kama hakuna kilicho badilika
Balance: Kagawa exercises under the watchful eye of club doctor Andreas Schlumberger
Kagawa akipiga tizi kwa usimamizi wa daktari wa timu Andreas Schlumberger
Stretch: Kagawa will hope to be a hit at Dortmund in his second spell at the German club
Narejea nyumani: Borussia Dortmund imesainisha kiungo Shinji Kagawa kutoka Manchester United kwa dau la pauni milioni £6.3Welcome home! Dortmund welcomed Kagawa back on Twitter with this picture from his previous spell
Karibu Nyumbani Dortmund Kagawa akikutana na meneja Klopp
Surplus to requirements: Manchester United have let Kagawa return to Germany after two years at Old Trafford
Majeraha yalidumaza maendeleo ya kiungo huyo na kushindwa kuwa vizuri chini ya David Moyes na kuonekana hana nafasi chini ya Louis van Gaal.

No comments:

Post a Comment