KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, October 17, 2014

Chelsea waingilia mpango wa Real Madrid wa mwezi Januari na kuiweka Arsenal pagumu zaidi

Kiungo mpya anayefanishwa na Ricaldo Kaka, Lucas Silva
Chelsea wanaonekana kujitosa kutaka kumsajili kiungo wa Brazil Lucas Silva baada ya kuuteka mapango wa Real Madrid.
Nyota huyo wa klabu ya Cruzeiro anafanana kabisa Ricardo Izecson dos Santos Leite(Ricaldo Kaka) ambaye tayari amekuwa katika mpango wa Madrid katika kipindi cha uhamisho cha mwezi Januari ikiwa ni kwa lengo la kuziba pengo la Sami Khedira anayetaka kutimkia katika klabu ya Arsenal.Taarifa kutoka nchini Hispania zinasema imeingiza fitna katika mpango huo na wakiwa wameanza mchakato wa kumpeleka Silva darajani katika kipindi cha uhamisho cha mwaka mpya.
Inafikiriwa kuwa Jose Mourinho ameishawishi bodi ya Chelsea kufanya biashara hiyo na Madrid wanaonekana kuchukizwa na mpango huo.