KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, October 5, 2014

Manchester United yarejea nne bora kwa mara ya kwanza baada ya mwaka mmoja kupita

Radamel Falcao akishangilia bao lake la kwanza tangu ajiunge Old Trafford

Manchester United imerejea katika nafasi nne za juu katika msimamo wa ligi kwa mara ya kwanza baada ya kipindi cha mwaka mmoja kupita huku bao lake la  kwanza Radamel Falcao likiamua matokeo katika mchezo dhidi ya Everton.
Angel Di Maria alikuwa wa kwanza kuandika bao kwa wenyeji wa Old Trafford ambalo lilidumu mpaka mpaumziko huku dakika za majeruhi za kipindi hicho cha kwanza penati ya Leighton Baines ikipanguliwa na mlinda mlango.
Baines.
Angel Di Maria celebrates scoring Manchester United's first goal against Everton on 27 minutes - it was his third goal in a United shirt
Angel Di Maria akishangilia baada ya kufunga goli la uongozi la Manchester United dhidi ya Everton kunako dakika ya 27 hili likiwa ni goli lake la tatu tangu kujiunga United
Di Maria celebrated by replicating the heart-shaped celebration of his former Real Madrid colleague Gareth Bale