KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, October 8, 2014

Mesut Ozil kukosekana uwanjani kwa miezi mitatu, pigo kubwa kwa washika mitutu wa London

Mesut Ozil kukosekana uwanjani kwa miezi mitatu
Mesut Ozil hatakuwepo uwanjani kwa takribani wiki 10 mpaka kufuatia maumivu ya goti katika mguu wake wa kushoto.
Kiungo huyo wa Arsenal alipelekwa katika kipimo cha skani cha MRI baada ya kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumaani kwa ajili ya mchezo wa kimataifa akiwa analalamikia maumivu ya mguu.
Imetangazwa na Ujerumani katika mkutano na waandishi wa habari mchana wa leo kuwa kiungo huyo huenda akakosekana kwa kipindi cha miezi mitatu.