KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, November 9, 2010

Didier Drogba fit baada ya kusumbuliwa na malaria

Mshambuliaji Chelsea Didier Drogba mwenye umri wa miaka 32 alikuwa akilalama juu ya kujisikia vibaya kabla ya mwezi October

hakuanza katika mchezo dhidi ya Liverpool jumapili iliypita baada ya kukumbwa na malaria lakini hata hivyo aliingia kipindi cha katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa Chelsea kuchapwa kwa mabao 2-0 na Liverpool .

meneja wa Blues Carlo Ancelotti amesema hakuwa na uhakika ni namna gani Drogba alikumbwa na matatizo hayo ya ki-tropical lakini anasema atakuwepo katika mchezo wa jumatano dhidi ya Fulham.

No comments:

Post a Comment