KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, November 9, 2010

Juventus yampongeza Alessandro Del Piero kwa kufikisha miaka 36 ya kuzaliwa kwake

Klabu ya Juventus imetoa taarifa ama tamko kupitia mtandao wa klabu hiyo kumpongeza nahodha na mchezaji wao ambaye ni kama nembo yao mkongwe Alessandro Del Piero baada ya kutimiza miaka 36.
Taarifa hiyo imesomeka
"Alessandro Del Piero, mkongwe wa Juventus ,tunakutakia kila kheri katika siku yako ya kuzaliwa baada ya kufikisha miaka 36 na hii ikiwa ni taarifa ya klabu na mashambiki wake".
Nahodha Del Piero yuko ndani ya klabu hiyo maarufu kama Bianconeri kwa misimu 18 baada ya kujiunga nayo 1993 wakati huo akitokea Padova.
Amekuwa vizuri kwa kipindi chote alichokuwepo hapo . machozi ya furaha yanatiririka pamoja na uchungu wa kufanya vibaya , lakini imekuwa muda tuko pamoja katika fani.
Yeye ndiye “club's all time Serie A top scorer akiwa na magoli 180 goals”. Ameushinda moyo wa imani wa Juventus kwa miaka mingi na kuendelea kushikilia hadhi yake mbele ya mashabiki
Wakati hayo yakiwa hivyo Del Piero mwenyewe ametoa taarifa yake kupitia mtandao wa klabu hiyo kama majibu kwa kusema
"nimetimiza miaka 36 na kama mnavyojua marafiki zangu leo ni “special day for me”. I would like to thank all those who have wished me a happy birthday.
"mwaka uliopita katika siku kama ya leo nilitangaza kuwa na mtandao wangu “new version of
www.alessandrodelpiero.com”.sasa mwaka umepita na ninafuraha kuwa na njia mbadala ya mawasiliano kutoa yale ya kwangu na hususani katika siku kama ya leo ."

No comments:

Post a Comment