KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, November 9, 2010

Kilimanjaro stars yatajwa

Mwalimu wa timu ya taifa ya Tanzania Jan Paulsen ametangaza kikosi cha timu ya taifa cha Tanzania Bara Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki katika mashindano ya Cecafa Tusker Cup yanayotarajia kuanza kutimua vumbi November 27 nchini.
Kikoso hicho chenye jumla ya wachezaji 22 kimemjumuisha Gaudence Mwaikimba ambaye kwa muda mrefu hajaitwa katika kikosi cha timu ya taifa huku kikiwa kimemtema mchezaji ambae mara nyingi alikuwemo katika kikosi hicho Musa Hassan Mgosi,.
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo Paulsen amesema kikosi hicho ndicho ambacho kitacheza katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki hapo November 17.


KLIMANJARO STARS SQUAD

GOAL KEEPER
JUMA KASEJA
SHABAN HASSAN KADO
SAID MOHAMED

DEFENDER
SHADRACK NSAJIGWA
STEPHEN MWASIKA
ERASTO NYONI
IDRISSA
JUMA NYOSO
HARUNA SHAMTE

MILDFIELDER
SHABAN NDITI
HENRY JOSEPH
NURDIN BAKARY
JABIR AZIZI
SALUM MACHAKU
NIZAR KHALFAN
MOHAMMED BANKA
KIGY MAKASY
FORWADERS
DANNY MRWANDA
MRISHO NGASA
JOHN BOKO
GAUDENCE MWAIKIMBA
THOMAS ULIMWENGU

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars huenda isicheze mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kutokana na kutokuwa na timu ya kucheza nato.
Mchezo huo ambao upo katika kalenda ya shirikisho la kandanda Duniani FIFA umepangwa kufanyika november 17 kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa shirikisho hilo.
Kaimu katibu mkuu wa TFF, Sunday Kayuni Kayuni amesema bado wapo katika mawasiliano na nchi za Kenya na Ethiopia ili kupata angalau mchezo huo

No comments:

Post a Comment