![]() |
Asamoah Gyan |
Mshambuliaji
wa kimatiafa Ghana ambaye pia kwasasa anaitumikia Al Ain ya falme za
kiarabu Gyan Asamoah amezawadiwa tuzo ya
mchezaji ghali na mfungaji bora katika eneo la wachezaji wa timu ya taifa ya
nchini Ghana katika hafla ya utoaji tuzo ya mchezaji bora nchini Ghana.
Mshambuliaji wa zamani wa black star Stephen
Appiah and Richard Kingson nao pia wamezawadiwa tuzo za kujitolea katika timu
ya taifa.
Katika tuzo
ya timu ya taifa ya viajan “Black Starlet category” Isaac Afoakwah amepewa tuzo
ya mchezaji bora toka timu hiyo huku Nasiru Mohammed mfungaji bora na Abdul
Baba Rahman akipewa tuzo ya kujitoa zaidi.
No comments:
Post a Comment