Ronaldo |
Nahodha wa
timu ya taifa ya Hispania Cristiano Ronaldo amethibitisha kuwa alikubali kupiga
penati ya tano ya Ureno katika mchezo wa jana wa nusu fainali ya Euro 2012 dhidi
ya Hispania.
Ureno a.k.a The
Seleccao ilipoteza katika mchezo baada ya wachezaji wake Joao Moutinho na Bruno
Alves kushindwa kufunga penati zao huku Ronaldo ambaye ni mpigaji mzuri wa kutokufikia
kupiga penati yake dhidi ya mlinda mlango Iker Casillas.
Amenukuliwa Ronaldo
akisema
"nilikuwa
nipige penati ya tano lakini tayari tulikwisha kukosa mbili, nilizungumza na
kocha aliniuliza unataka kupiga penati ya tano? Nilimjibu ndio.'
"mara
nyingi napiga penati ya kwanza,ya pili au ya tatu. Nilikubali kupiga ya tano
"natumaini
Hispania wata chukua taji nina marafiki wengi kule na ninacheza kule na itakuwa
ni fainali ngumu kwao.
Ronaldo ametanabaisha
kuwa kupoteza mchezo kwa penati ilikuwa hali ngumu lakini nadhani Ureno ilikuwa
katika michuano mizuri safari hii.
No comments:
Post a Comment