Kocha wa
timu ya taifa ya Cameroon Denis Lavagne anataka kumvua unahodha Samuel Eto'o baada
ya kumaliza adhabu yake mwezi wa August.
Katika barua
yake kwenda katika shirikishom la kandanda la Cameroon imesema mabadiliko
yatafanywa mapema mwezi September.
"nimeomba
kufanya mabadiliko katika cheo cha nahodha na makamu wake amesema.
"sfafu
wangu na mimi tumeona ni mubhimu kuweka wazi juu ya issue hiyo kabla ya kufuzu
mataifa ya Afrika na kombe la dunia."
No comments:
Post a Comment