Amir Khan v Danny Garcia: Khan anamsubiri
Floyd Mayweatherkwa hamu kubwa
Amir Khan ameonyesha
nia ya kutaka kudhihirisha ubora wake kwa kumpiga Danny Garcia na pia akipanga
kucheza na Floyd Mayweather.
Khan ambaye
kwasasa ana umri wa miaka 25 anatarajiwa kucheza pambano la light-welterweight dhidi
ya bingwa wa taji la WBC Garcia kama
bingwa wa taji la WBA baada ya Lamont Peerson kuvua taji lake.
Amenukuliwa
akisema
"hii ni
nafasi yangu kudhihirisha ubora wangu "
"naweza
kushinda taji la WBC kutwaa mataji matatu kati ya manne hivyo ni wakati wa
kusonga mbele."
No comments:
Post a Comment