Hawa ni Tusker wakijifua |
Tusker ya
Kenya na Ports ya Djibouti zinawasili leo jioni kukamilisha idadi ya timu kumi
na moja zinazoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame yanayoanza kesho Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam.
Mechi za kesho
ni APR ya Rwanda dhidi ya El Salam Wau ya Sudan Kusini itakayoanza saa 8 kamili
mchana na kufuatiwa na ya saa 10 kamili jioni kati ya mabingwa watetezi Yanga
na Atletico ya Burundi.
Timu zote
kutoka nje ya mazoezi zimeshapangiwa viwanja vya mazoezi ambapo zitavitumia kwa
mujibu wa ratiba ambayo imepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF). Makazi ya timu hizo na viwanja vya mazoezi ni kama ifuatavyo;
Timu:
Uwanja wa
mazoezi: Accommodation:
APR (Rwanda)
Mabibo Hostel
- Marriott Hotel (Mabibo
External)
AS Vita
(Congo) University of Dar es Salaam - Chichi
Hotel (Kinondoni)
Atletico (Burundi)
Mabibo Hostel - Lunch Time
Hotel (Mabibo Hostel)
Azam (Tanzania)
Azam Complex
- Azam Complex
(Chamazi)
El Salam Wau (S.
Sudan) Zanaki Sekondari - Rungwe Hotel
(Kariakoo)
Mafunzo
(Z’bar) Kinesi
- Rombo Green View Hotel
(Sinza)
Ports (Djibouti)
Kinesi -
Rombo Green View Hotel (Sinza)
Simba
(Tanzania) ……………………. – Vina
Hotel (Mabibo Makutano)
Tusker
(Kenya) Zanaki Sekondari
- Rungwe Hotel (Kariakoo)
URA
(Uganda) Loyola
- Valentino Royal Hotel
(Kariakoo)
Yanga
(Tanzania) …………………. –
……………………….
No comments:
Post a Comment