MANJI NA SANGA KUONGOZA YANGA
|
Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji(picha msaada bongostaz blog)
Hatimaye mzizi wsa fitna umekatwa baada ya zoezi la kusaka viongozi wapya wa Yanga kukamilika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Majina ya washindi yalitangazwa saa kumi alfajiri huku Yusufu Manji akiwashinda wagombea wengine John Jambele na Edgar Chibula, Manji alipata kura 1896.
Katika nafasi ya makamu mwenyekiti Clement Sanga amepata kura 1278 wajumbe ni Abdalah Bin kLEB KURA 1942, Moses Katabalo kura 1688 , Aaron Nyanda kura 922 na George Manyama kura 800.
|
|
Mwenyekiti Manji na Makamu wake Sanga(picha msaada Bongostaz Blog) |
No comments:
Post a Comment